Securixa

Securixa Total Security Solutions ๐Ÿ”’
Hardware | Electronic | Digital Security
Quality you trust. Protection you rely on.
๐Ÿ“ž +255 714 592 047

Uchimbaji wa Visima, Uchomeleaji - Mageti, Vitanda, Milango

๐Ÿก UMETUMIA MAMILIONI KUJENGA NYUMBA YAKO... JE, UMEHAKIKISHA KINACHOILINDA? ๐Ÿ”Baada ya miezi au miaka ya kujinyima, kupan...
07/06/2026

๐Ÿก UMETUMIA MAMILIONI KUJENGA NYUMBA YAKO... JE, UMEHAKIKISHA KINACHOILINDA? ๐Ÿ”

Baada ya miezi au miaka ya kujinyima, kupanga, na kujenga ndoto yako hatua kwa hatua, siku ya kuhamia kwenye nyumba mpya inafika.

Lakini kuna swali moja muhimu...

โ“ Je, mlango wako una lock inayolingana na thamani ya nyumba yako?

Usiruhusu jasho lako, mali zako, na usalama wa familia yako kutegemea lock dhaifu inayoweza kuhatarisha kila kitu ulichojenga.

โœ… Gate Locks Imara na Zenye Ubora wa Juu
โœ… Usalama wa Familia na Mali Zako
โœ… Muonekano wa Kisasa na Kifahari
โœ… Zinadumu kwa Miaka Mingi
โœ… Zinafaa kwa Nyumba Mpya na Majengo ya Kisasa

Nyumba nzuri si kuta na bati pekee...
Nyumba nzuri inaanza na USALAMA. ๐Ÿ”’

๐Ÿ“ž Piga simu au WhatsApp sasa:
+255 714 592 047

๐Ÿšš FREE DELIVERY ndani ya Dar es Salaam

Usisubiri mpaka tatizo litokee ndipo ufikirie usalama.

๐Ÿ‘‰ Tuma ujumbe "LOCK" sasa hivi tuweze kukushauri lock sahihi kwa nyumba yako mpya.

Usisubiri tukio ndio ubadili lock ๐ŸšจLinda nyumba yako.Linda biashara yako.Linda amani yako.๐Ÿ“ฒ WhatsApp/Tupigie: +255 714 5...
11/05/2026

Usisubiri tukio ndio ubadili lock ๐Ÿšจ

Linda nyumba yako.
Linda biashara yako.
Linda amani yako.

๐Ÿ“ฒ WhatsApp/Tupigie: +255 714 592 047


Total Security. Smart Protection.

11/05/2026

๐ŸŽค Mic Holder / Mic Stick available now ๐Ÿ”ฅ
Strong metal material ๐Ÿ’ช
Stable โ€ข Durable โ€ข Professional look โœจ

Price: Tsh 40,000 tu ๐Ÿ›’
Perfect kwa podcasts, studio, church, events & content creation ๐ŸŽง

๐Ÿ“ฉ DM to order
๐Ÿค™0763 030382
AudioEquipment DarEsSalaam TanzaniaBusiness

๐Ÿ” Usalama wa nyumba au biashara yako unaanzia kwenye kufunga kitu sahihi.Vitasa vyetu vya ORIGINAL vina: โœ… uimara wa mud...
09/05/2026

๐Ÿ” Usalama wa nyumba au biashara yako unaanzia kwenye kufunga kitu sahihi.

Vitasa vyetu vya ORIGINAL vina:
โœ… uimara wa muda mrefu
โœ… usalama unaoaminika
โœ… muonekano wa kisasa
โœ… bei nafuu kwa kila mtu

Usisubiri mpaka upate hasara ndiyo uanze kufikiria security.
Linda familia, biashara na mali zako mapema. ๐Ÿ ๐Ÿ›ก๏ธ

๐Ÿ“Tunapatikana Dar es Salaam
๐Ÿšš Delivery ipo
๐Ÿ“ฒ WhatsApp/Call: +255 714 592 047

Comment โ€œINFOโ€ tukupe maelezo zaidi au bei ๐Ÿ‘‡

SecuritySolutions SmartProtection CCTVTanzania HardwareTZ HomeSecurity BiasharaSalama VitasaOriginal TanzaniaBusiness SecuritySystems

07/05/2026

๐Ÿ” KARIBU SECURIXA ๐Ÿ”
Mahali sahihi kwa kupata Gate Locks ORIGINAL, IMARA na za KISASA kwa usalama wa nyumba, biashara na familia yako.

Sisi tunaamini kuwa usalama sio option โ€” ni lazima!
Ndio maana tunakuletea locks zenye ubora wa hali ya juu, uimara wa kudumu na muonekano wa kisasa.

โœ… Gate Locks Imara
โœ… Quality ya uhakika
โœ… Bei rafiki
โœ… Usalama wa kiwango cha juu
โœ… Huduma bora kwa wateja

๐Ÿ“ฆ JINSI YA KUWEKA ORDER:
1๏ธโƒฃ Tuma picha/screenshoot ya bidhaa unayotaka
2๏ธโƒฃ Tutakupatia maelezo yote pamoja na bei
3๏ธโƒฃ Fanya order yako haraka kupitia WhatsApp au simu

๐Ÿ“ฒ WhatsApp / Tupigie: +255 714 592 047
๐Ÿ“ Ubungo, Dar es Salaam

๐Ÿšช Linda nyumba yako leo na SECURIXA โ€”
Total Security. Smart Protection.

๐Ÿšจ USISUBIRI WIZI NDIO UCHUKUE HATUA! ๐ŸšจUnajua ukweli huu?๐Ÿ‘‰ Milango mingi iko imaraโ€ฆ lakini lock ndio dhaifu!Hapo ndipo we...
06/05/2026

๐Ÿšจ USISUBIRI WIZI NDIO UCHUKUE HATUA! ๐Ÿšจ

Unajua ukweli huu?
๐Ÿ‘‰ Milango mingi iko imaraโ€ฆ lakini lock ndio dhaifu!

Hapo ndipo wezi wanapopitia kirahisi ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ

๐Ÿ” Tunakuletea Gate Locks ORIGINAL, IMARA na za KISASA
Zinakulinda wewe, familia yako na mali zako bila compromise!

โœ… Heavy Duty โ€“ haiharibiki kirahisi
โœ… Usalama wa hali ya juu
โœ… Design ya kisasa (inaongeza hadhi ya nyumba yako)
โœ… Inafaa kwa gate zote

๐Ÿ’ก Lock bora = Amani ya moyo kila usiku

โš ๏ธ Usingoje tukio litokee ndio uanze kutafuta suluhisho!

๐Ÿ“ฒ ORDER SASA kupitia WhatsApp:
+255 714 592 047

๐Ÿ‘‰ Andika โ€œLOCKโ€ DM tukusaidie kuchagua inayokufaa

MLANGO WAKO NI SALAMA KWELI AU UNAJIDANGANYA?Watu wengi wanaweka milango imaraโ€ฆ lakini wanasahau kitu kimoja muhimu โ€” LO...
03/05/2026

MLANGO WAKO NI SALAMA KWELI AU UNAJIDANGANYA?

Watu wengi wanaweka milango imaraโ€ฆ lakini wanasahau kitu kimoja muhimu โ€” LOCK!

๐Ÿ‘‰ Lock dhaifu = Mwizi anaingia ndani kwa sekunde chache
๐Ÿ‘‰ Lock bora = Unalala usingizi mzito bila stress

Sisi tunakuletea Gate Locks za kisasa, imara na ORIGINAL ๐Ÿ”ฅ
Zimeundwa kwa usalama wa hali ya juu + uimara wa muda mrefu

โœ… Heavy duty (hazivunjiki kirahisi)
โœ… Design ya kisasa (inaongeza hadhi ya nyumba yako)
โœ… Inafaa kwa gate za aina zote
โœ… Quality ya uhakika โ€” sio feki!

๐Ÿ’ฐ Bei ni nafuu ukilinganisha na thamani ya usalama wako

๐Ÿšจ USISUBIRI WIZI NDIO UCHUKUE HATUA! ๐Ÿšจ
Linda familia yako, mali zako, na amani ya moyo wako leo.

๐Ÿ“ฒ Order sasa kupitia WhatsApp: +255 714 592 047
๐Ÿ“ Tunapatikana Dar es Salaam

๐Ÿ‘‰ DM โ€œLOCKโ€ sasa tukusaidie kuchagua lock inayokufaa!

Vitasa vya Milango โ€“ Quality na Ubora wa Hali ya JuuUsalama wa nyumba au biashara yako unaanzia mlangoni.Chagua vitasa v...
02/05/2026

Vitasa vya Milango โ€“ Quality na Ubora wa Hali ya Juu

Usalama wa nyumba au biashara yako unaanzia mlangoni.
Chagua vitasa vilivyotengenezwa kwa ubora wa hali ya juu, vinavyodumu na vinavyokupa amani ya akili kila siku.

โœ”๏ธ Imara na vinadumu muda mrefu
โœ”๏ธ Muonekano wa kisasa na wa kuvutia
โœ”๏ธ Usalama wa kuaminika kwa familia na mali zako
โœ”๏ธ Inafaa kwa nyumba, ofisi na biashara

๐Ÿšš Delivery ya haraka popote ndani ya Dar es Salaam

๐Ÿ“ Ubungo, Dar es Salaam
๐Ÿ“ฒ WhatsApp: +255 714 592 047

๐Ÿ‘‰ Boresha usalama wako leo na Securixa.

30/04/2026

Unalinda nyumba yako kweliโ€ฆ au unategemea bahati?
Vitasa vingi vinavyoonekana imara โ€” havidumu wala havilindi ipasavyo.
๐Ÿ” SECURIXA Locks
โœ” Ubora wa hali ya juu
โœ” Imara, ya kudumu
โœ” Imetengenezwa kwa ulinzi wa kweli
Tunakuletea vitasa vya milango na mageti ambavyo vinakupa amani ya akili, si wasiwasi.
๐Ÿšš Delivery ipo โ€” popote ulipo Dar es Salaam
Usichague bei, chagua usalama.
๐Ÿ“ž +255714592047
๐Ÿ“ Ubungo
SECURIXA โ€” Built to Protect. Designed to Last.

Ulinzi DarEsSalaam Ubungo SecurityTanzania HomeSecurity QualityFirst BuiltToLast ConstructionTZ ContractorsTZ DeliveryAvailable

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Securixa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Securixa:

Shortcuts

Share