Uchimbajivisimatz

Uchimbajivisimatz Tunachimba visima,ugungaji wa pump pamoja na malekebisho yote ya visima ndani ya Tanzania

06/04/2026
He is risen. Hope lives forever.BASBARRONE LTD.
05/04/2026

He is risen. Hope lives forever.
BASBARRONE LTD.

Katika hii Ijumaa Kuu, tunakumbuka upendo, sadaka na matumaini mapya.Tuendelee kujenga maisha bora kupitia maji ya uhaki...
03/04/2026

Katika hii Ijumaa Kuu, tunakumbuka upendo, sadaka na matumaini mapya.
Tuendelee kujenga maisha bora kupitia maji ya uhakika kwa ajili yako na wapendwa wako.

πŸ™ Maombi, amani na baraka ziwe nanyi.
πŸ“ž Wasiliana nasi kwa huduma bora za uchimbaji visima.





Suluhisho la maji la uhakika, mahali ulipo.Wasiliana nasi leo +255625494853
02/04/2026

Suluhisho la maji la uhakika, mahali ulipo.

Wasiliana nasi leo +255625494853





01/04/2026

πŸ’§ Tunahakikisha kila tone la maji linakufika salama, safi na ya kuaminika!
Usijali tena kukimbia kutafuta maji β€” sisi tunaleta suluhisho kwenye mlango wako

Piga simu au whatsapp: +255 625 494 853

24/03/2026

πŸ’§ Hakikisha Upatikanaji wa Maji Safi Nyumbani au Kwenye Mradi Wako
Unahitaji suluhisho la kudumu la maji?
Sisi tunatoa huduma bora za uchimbaji visima kwa kutumia vifaa vya kisasa na timu yenye uzoefu.

-Uchunguzi wa eneo (survey)
- Uchimbaji wa kisasa na wa uhakika
-Ufungaji wa pampu na huduma baada ya kazi
βœ”-Bei nafuu na huduma ya haraka
πŸ“ž Wasiliana nasi leo: 0766010704
πŸ‘‰ Tunakusaidia kupata maji kwa uhakika, muda wowote!

BoreholeDrilling TanzaniaBusiness ConstructionLife ReliableService

Address

Bunju A
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uchimbajivisimatz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share