Eng Kaswahili

Eng Kaswahili 1.Architectural design
2. Visualization
3. Cost estimation
4.Structural design
5.Renovation of old buildings to modern
6.Construction

26/07/2026


Modern architecture framed by nature.
This contemporary multi level design features a stunning rooftop terrace with panoramic 360 degree mountain views, perfect for high end entertainment. Designed with sleek curtain walls and vibrant social lounges
For more info contact Engineer Kaswahili call/Whatsapp+255 658 508 201

21/07/2026

15/07/2026

HIghlight: Usiache kufuatilia kuanzia Part1 hadi mwisho utanijifunza vitu Muhimu sana ukiwa unania ua kununua kiwanja, kujenga au kuwekeza kwenye ardhi

15/07/2026

Part1: USINUNUE KIWANJA WAKATI WA MVUA ILI KUKWEPA MAFURIKI... PART2 INAENDELEA SIKILIZA MPAKA MWISHO UTAKUJA KUNISHUKURU BAADAE

11/07/2026

Kwanini tofali za nchi 6 badala ya nchi 5 kwenye msingi:
Tofali za nchi 6 zina uwezo mkubwa zaidi wa kubeba mzigo na kustahimili shinikizo la udongo chini ya ardhi, hivyo zinafaa zaidi kwa msingi ambao hubeba uzito wa jengo zima. Tofali za nchi 5 ni nyembamba na huwa na hatari kubwa ya nyufa chini ya ardhi ambapo tatizo haliwezi kugundulika mapema.
Kiuchumi pia, ukilinganisha kwa eneo moja: tofali 660 za nchi 6 kwa bei ya 1,500/= zinagharimu jumla ya 990,000/=, wakati tofali 880 za nchi 5 kwa bei ya 1,400/= zinagharimu 1,232,000/= licha ya bei ya kipande kuwa ndogo, idadi kubwa inayohitajika inafanya jumla ya gharama iwe kubwa zaidi kwa tofauti ya 242,000/=.
Hivyo tofali za nchi 6 ni bora zaidi kwa msingi kwa uimara na pia kwa gharama nafuu.

11/07/2026

Modern elegance meets timeless design

09/07/2026

Architect vs Engineers roles

Address

Mbezi Juu
Dar Es Salaam
NONE

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Eng Kaswahili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share