Kdc company limited

Kdc company limited πŸͺ‘ Unique Furniture | Made in Tanzania
πŸ“² Dm to Order
🚚 Delivery Nationwide
πŸ“ Dar es Salaam

16/08/2026

STAREHE YA KWELI IKO HAPA! πŸ”₯
Umewahi kukaa kwenye sofa na ukasahau kusimama? Hii ndio hiyo!
> KDC RECLINER SOFA SET 7 (3,2,1,1) - BEIGE
BEI: TZS 2,600,000/= TU!
> K**a unavyoona kwenye video, sofa INAJILAZA kabadilika kuwa kitanda. πŸ‘Œ
> Sifa zake:
βœ… Inajilaza 180Β° - Pumzika, lala, tazama TV kwa raha
βœ… Kitambaa: Soft Leather - Laini, imara, hakipasuki & rahisi kusafisha
βœ… Ndani: Spring + Fiber + Godoro Dodoma Original - Hakishuki hata miaka 10
βœ… Ina Cup Holder - Weka juice / soda yako pembeni
βœ… Rangi ya kisasa inayopendeza kwenye sebule yoyote
> Stock mpya imetulia dukani!
> πŸ“ Location: KDC Dar es Salaam, Dar es Salaam, Tanzania
πŸ“² Piga / WhatsApp Sasa: 0752737138
🚚 Delivery & Mikoani tunatuma!
> Wahi kabla hazijaisha!

14/08/2026

Kazi nyingine imekamilika . Mteja kafurahi, sisi tumefurahi zaidi. πŸ™
Unahitaji kitchen k**a hii? DM tukuhudumie.
:
:

14/08/2026

Part two 2️⃣ stay tuned KDC FURNITURE | samani dar
:
:
:

14/08/2026

Part twoo stay tuned KDC FURNITURE | samani dar
:
:
:

13/08/2026

Part one stay tuned KDC FURNITURE | samani dar
:
:
:

12/08/2026

Wa kazi wa Tutakuwa hapa EDEN BEACH HOUSE kwa muda wa siku tatu..
Piga simu kwa site visit upate punguzo kutana na mafundi kwa ushauli zaidi wa maswala ya interior design
:
;

12/08/2026

11/08/2026

Hakuna kuagiza sofa sehemu, meza sehemu. Hapa ndio maana ya β€œOne Stop Furniture Shop”
Kazi yetu KDC Furniture ni kuhakikisha seble yako inakuwa na muonekano mmoja - Classy, Modern na Durable.

Hii video ni kutoka nyumbani kwa mteja, sio showroom! Ubora unaojionyesha.

Karibu uone sample zetu live.
:

11/08/2026

Hatupaki tu meza, tunapakia IMANI yako! 😊
Delivery inaenda kwa mteja wetu Mbezi. Asante kwa kutuamini.
Oda yako iko njiani pia? Karibu DM
:

Address

Kdc Company Limited
Dar Es Salaam
15104

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:00
Tuesday 08:00 - 20:00
Wednesday 08:00 - 20:00
Thursday 08:00 - 20:00
Friday 08:00 - 20:00
Saturday 08:00 - 20:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kdc company limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share