Wagoba Investment Company

Wagoba Investment Company Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Wagoba Investment Company, Construction Company, GOBA, Dar es Salaam.

Alhamdulillah🙏🏽Ni heshima kubwa kwetu kupokea ugeni wa  , Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, katika ofisi yetu inayojihusi...
11/04/2026

Alhamdulillah🙏🏽
Ni heshima kubwa kwetu kupokea ugeni wa , Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, katika ofisi yetu inayojihusisha na utengenezaji wa Aluminium windows & Doors, Upvc Window & Doors, Balcon, Office partion Nk.

Pamoja na majukumu yake mengi na ratiba yenye shughuli nyingi, kupata wasaa wa kufika na kututia moyo pamoja na kuweka baraka zake ni jambo tunalolithamini sana. Ziara yake imetupa hamasa zaidi ya kuendelea kutoa huduma bora na zenye ubora wa hali ya juu kwa wateja wetu🙏🏽.

Tunamshukuru sana na team yako kwa kutambua juhudi zetu na kutuunga mkono Allah awabarik sana🙏🏽.

Kwa mahitaji ya Madirisha na milango ya Aluminium na Upvc na kazi zote zinazohusu kupendezesha nyumba tuna mafundi wazuri na wazoefu watakaokupa kazi bora muonekano mzur wa jengo lako,
Kwa mawasiliano zaidi
Whatsap & call 0712 793 230

Karibuni sana ✍🏽

  ✍🏽
07/04/2026

✍🏽

WATU KAZI 🚨  ✍🏽
01/04/2026

WATU KAZI 🚨

✍🏽

Upgrade Your Office with Aluminium Doors, Office Partitions, Louvers & Cutting Walls!We specialize in installation of al...
26/03/2026

Upgrade Your Office with Aluminium Doors, Office Partitions, Louvers & Cutting Walls!

We specialize in installation of aluminium doors, office partitions, louvers, and cutting walls for corporate offices and institutions.
Our services help transform your workspace into a modern, functional, and stylish environment.

📍Aluminium Doors - Enhance security and bring a
sleek, modern look.
📍Office Partitions - Create organized spaces with durable and elegant designs.
📍Louvers - Control sunlight while adding a stylish touch to your office.
📍Cutting Walls - Redefine your workspace efficiently and beautifully.
With our expertise, we guarantee high-quality craftsmanship and professional service.

☎️ Call Us. 0712 793 230
whatsap 0712 793 230

Address

GOBA
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wagoba Investment Company posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share