Simtank Tanzania

Simtank Tanzania Official Simtank Tanzania Page
Your Trusted Partner in Water Storage Solutions.
#1 in East Africa
Call 0784 800164 /0784 800052
www.simtank.com

Fun Fact: Maji yaliyohifadhiwa kwenye SIMTANK yenye kifuniko salama yanaweza kudumu zaidi ya mwaka bila kuharibika! Je, ...
10/11/2025

Fun Fact: Maji yaliyohifadhiwa kwenye SIMTANK yenye kifuniko salama yanaweza kudumu zaidi ya mwaka bila kuharibika!

Je, unajua hilo?
Chagua jibu sahihi:
A) Miezi 1
B) Miezi 6
C) Zaidi ya mwaka

Comment jibu lako hapa na ushiriki na rafiki akuje ajaribu!

Dar, Dodoma au Arusha - jua kali haliwezi kuathiri maji yako. SIMTANK lina kinga ya UV inayohifadhi maji safi bila joto ...
07/11/2025

Dar, Dodoma au Arusha - jua kali haliwezi kuathiri maji yako. SIMTANK lina kinga ya UV inayohifadhi maji safi bila joto kupanda.

Mvua za vuli zipo! Hii ni nafasi ya kukusanya maji ya bure kwa matumizi ya nyumbani. Hakikisha una SIMTANK ili kuhifadhi...
05/11/2025

Mvua za vuli zipo! Hii ni nafasi ya kukusanya maji ya bure kwa matumizi ya nyumbani. Hakikisha una SIMTANK ili kuhifadhi kila tone bila kuvuja.

28/10/2025

Unajua? Teknolojia ya SIMTANK huokoa hadi 99% ya maji dhidi ya uvujaji na jua kali. Hii ndiyo njia bora ya kuhakikisha hakuna tone linapotea!

22/10/2025

Safari ya maji yako inaanzia wapi?

Kutoka mawinguni hadi kikombe chako.

SIMTANK huhifadhi na kulinda kila tone.



Toa Comment yako hapo chini jinsi unavyo tumia simtank yako.

Si kwa bahati - Watanzania wanaichagua SIMTANK kwa sababu imedumu, inatunza ubora wa maji, na ni rahisi kuhudumia.
20/10/2025

Si kwa bahati - Watanzania wanaichagua SIMTANK kwa sababu imedumu, inatunza ubora wa maji, na ni rahisi kuhudumia.

Maji safi ni msingi wa afya ya kila familia. SIMTANK linahifadhi maji kwa usalama ili uwe na uhakika wa afya yako na wap...
17/10/2025

Maji safi ni msingi wa afya ya kila familia. SIMTANK linahifadhi maji kwa usalama ili uwe na uhakika wa afya yako na wapendwa wako. Usipoteze hata toneโ€”tumia tanki linaloaminiwa na maelfu ya Watanzania.

Leo tunasherekea urithi wa Mwalimu Julius K. Nyerere kiongozi mwenye maoni aliyelijenga taifa letu kwa msingi imara. ๐Ÿ’š๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ...
14/10/2025

Leo tunasherekea urithi wa Mwalimu Julius K. Nyerere kiongozi mwenye maoni aliyelijenga taifa letu kwa msingi imara. ๐Ÿ’š๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Mbeya tunakuja! Wiki ijayo SIMTANK itakuwa jijini kwenu na mafundi wetu โ€“ kaa tayari kwa elimu na huduma bora za maji sa...
09/10/2025

Mbeya tunakuja!
Wiki ijayo SIMTANK itakuwa jijini kwenu na mafundi wetu โ€“ kaa tayari kwa elimu na huduma bora za maji safi.

Comment ๐Ÿ‘‡ na utuambie ni eneo gani la Mbeya unatokea!

09/10/2025

Kaa Karibu na kurassa zetu kujua Mji gani ufuatao.

Tuko Karibu na wewe, kila hatua na SIMTANK.

Simtank inakujali wewe mteja wetu, kwa miaka mingi tupo pamoja na wewe, na sasa tunatembelea mji uliokaribu na wewe.

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
14

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Simtank Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share