Pirlo30 sofa city

Pirlo30 sofa city Fundi sofa
Tabata maji chumvi (mlima WA bwana)

26/09/2026
Different camera angles but the same couch design. Sio uzuri tu bali lina ubora wa hali ya juu mno, ni seti kamili yenye...
30/08/2026

Different camera angles but the same couch design. Sio uzuri tu bali lina ubora wa hali ya juu mno, ni seti kamili yenye mjumuisho wa Kochi mbili za watu wawili na moja la watu watatu. Fika sasa ofisini kwetu tukufurahishe kwani Sisi ni hodari mno katika ufundi wa sofa za aina mbalimbali,🪚.Juma Ayo

Bed sofa 5×6. Ni imara na kinaweza kudumu kwa muda mrefu. Karibu sasa kwani tunatengeneza design mbalimbali kulingana na...
04/08/2026

Bed sofa 5×6. Ni imara na kinaweza kudumu kwa muda mrefu. Karibu sasa kwani tunatengeneza design mbalimbali kulingana na machaguo yako🌞

07/07/2026

Sofa nzuri sana kwa matumizi ya ofisi kubwa na ndogo, Ina space kubwa ya kutosha watu wanne, kitambaa Cha kufuta kisichoshika uchafu. Karibu sasa ubadilishe muonekano wa kampuni au office space yako.karibu🙏

Kochi bomba sana, space ya kutosha, mbao ngumu za mkono zenye kuipa uimara kochi bila kusahau mito laini ya mgongoni yen...
21/06/2026

Kochi bomba sana, space ya kutosha, mbao ngumu za mkono zenye kuipa uimara kochi bila kusahau mito laini ya mgongoni yenye kukupa comfortability muda wote ukiwa umekaa. Karibu tukuhudumie..

Sometimes kitambaa kizuri hufanya sofa kuwa na mvuto wa kipekee sanaa. Sofa safi k**a hiyo pia inapatikana ofisin kwetu,...
17/06/2026

Sometimes kitambaa kizuri hufanya sofa kuwa na mvuto wa kipekee sanaa. Sofa safi k**a hiyo pia inapatikana ofisin kwetu, fika sasa utengenezewe kochi la ndoto zako

Call @ pirlo30_sofa_city for affordable and quality sofa special kwa ajili ya sebule, ofisi, gheto au sehemu yako ya bia...
08/06/2026

Call @ pirlo30_sofa_city for affordable and quality sofa special kwa ajili ya sebule, ofisi, gheto au sehemu yako ya biashara. Sofa zetu ni nzuri kimuonekano na zimetengenezwa ili kudumu kwa muda mrefu.

Kochi nzuri isiyokula nafasi ya sebule yakoMito ya kutoka, rahisi kusafisha, rahisi kuhamishikaMali ni safi
22/05/2026

Kochi nzuri isiyokula nafasi ya sebule yako
Mito ya kutoka, rahisi kusafisha, rahisi kuhamishika
Mali ni safi

Address

Tabata Kisukuru, Ilala
Dar Es Salaam
12104

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:00
Tuesday 08:00 - 20:00
Wednesday 08:00 - 20:00
Thursday 08:00 - 20:00
Friday 08:00 - 20:00
Saturday 08:00 - 20:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pirlo30 sofa city posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share