23/08/2026
Kwenye miaka 30 ya Bongo Fleva msaniii Dogo Janja alipanda jukwaani ku-perform huku aliyewahi kuwa mke wake ambaye ni Irene Uwoya nae alikuwepo jukwaani kitu ambacho kilileta taswira nzuri ikimbukwe Irene Uwoya aliwahi kukataa kuwa hakufunga ndoa na Dogo Janja, sasa wengi walikuwa makini kuangalia muitikio wa Irene Uwoya baada ya kumuona dogo Janja jukwaani...