Coral Paints Insignia Limited

Call Website Contact the business

Coral Paints Insignia Limited Coral Paints, the largest selling brand in Tanzania, is an intrinsic part of decorating that precedes every major celebration in life.

Coral has gained its reputation as a value-for-money quality brand. Insignia Commenting Policy:

Insignia Limited page is intended to provide a platform to our followers & fans to interact with our company and our brands; and with other followers and fans to discuss and share products, promotions and campaigns. We encourage you to leave your own comments, photographs, videos and links here.

17/09/2026

Msimu huu wa mvua chukua taadhari dhidi ya uvujaji wa paa lako na bidhaa ya Coral roofing compound, bidhaa itakayo ziba matundu kwenye bati lako.

Pendezesha kuta zako za sehemu upendazo nyumbani,ofisini, shuleni na Coral deluxe wash and wear vinly silk emulsion, ran...
17/09/2026

Pendezesha kuta zako za sehemu upendazo nyumbani,ofisini, shuleni na Coral deluxe wash and wear vinly silk emulsion, rangi ambayo ni rahisi kusafishika.

Bidhaa bora ya skimming kwa kuta za ndani na za nje.
14/09/2026

Bidhaa bora ya skimming kwa kuta za ndani na za nje.

Rangi ya PVA Acrylic roof paint, inakupa uhakika wa ubora katika misimu yote ya hali ya hewa.Inapatikana kwenye vivuli v...
10/09/2026

Rangi ya PVA Acrylic roof paint, inakupa uhakika wa ubora katika misimu yote ya hali ya hewa.
Inapatikana kwenye vivuli vingi kwa ajili yako.

07/09/2026

Pata amani ya moyo iwe mvua, iwe jua.
Ukiwa na ulinzi kamili wa coral Paint ProGuard, rangi bora kwajili ya kuta za nje,
Inayopambana na kila aina ya hali ya hewa.

02/09/2026

Amani ya moyo ndio kila kitu sehemu unayo ishi.
Tunakila kivuli ukipendacho cha kukufanya uwe na tabasamu.

Acha gari lako liongee,Kwa rangi zenye ubora hakikisha unatumia 2K acrylic paints,Rangi itunzayo muonekano wa gari.
27/08/2026

Acha gari lako liongee,
Kwa rangi zenye ubora hakikisha unatumia 2K acrylic paints,
Rangi itunzayo muonekano wa gari.

25/08/2026

Tunawatakia sikukuu njema ya maulid

Hakuna haja ya kuwa na wasiwasi linapokuja swala la kusafisha kutazako baada ya kuchafuka ukiwa na vinyl silk,Rangi inay...
24/08/2026

Hakuna haja ya kuwa na wasiwasi linapokuja swala la kusafisha kutazako baada ya kuchafuka ukiwa na vinyl silk,
Rangi inayosafishika kiarahisi bila msongo wa mawazo.

Paa bora ni lile lisilopenyeza maji wala unyevunyevu ndani ya nyumba,High- build roof water proofing ndio suluhisho namb...
19/08/2026

Paa bora ni lile lisilopenyeza maji wala unyevunyevu ndani ya nyumba,
High- build roof water proofing ndio suluhisho namba moja la kuzuia uvujaji.
Inapatikana kwa mawakala wetu wote nchi nzima.

Address

Head Office And Factory: Mbozi Road, Chang'ombe, Industrial Area
Dar Es Salaam
P.OBOX71449

Opening Hours

Monday 07:30 - 17:00
Tuesday 07:30 - 17:00
Wednesday 07:30 - 17:00
Thursday 07:30 - 17:00
Friday 07:30 - 17:00
Saturday 07:30 - 17:00

Telephone

+255676410200

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Coral Paints Insignia Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Coral Paints Insignia Limited:

Shortcuts

Share

Category