FREDY Mabati Haomai

FREDY Mabati Haomai wazalishaji & wauzaji mabati yenye ubora kutoka kiwandani. (Rangi & Chenga chenga)
🫳IT-5
🫳VERSATILE
🫳ROMANTILE
🚚USAFIRI MIKOA YOTE.
📲0717 295 493

01/10/2026

KARIBU SANA!
🎯 Unatafuta Mabati Imara, Mazuri na ya Kisasa?
🎯 Unahitaji huduma ya haraka na ya kuaminika?

✅ Ndiyo Sehemu Sahihi!
Tunatoa:
✔️ Mabati ya Kisasa ( Vigae, Mgongo Mpana/ Mdogo)
✔️ Rangi na urefu unaotaka
✔️ Bei nafuu kwa kila mteja
✔️ Ushauri wa bure
✔️ Delivery hadi mlangoni

📦 KARIBU JIPATIE VIFAA VYA UJENZI KWA BEI NAFUU ,,,
"LENGO KUU TUJENGE KWA PAMOJA KWA URAHISI KWA BEI NAFUU ZA BIDHAA.☎️0717 295 493 /0626 88 50 36

14/09/2026

CHAGUA MABATI ORIGINAL KWA MUONEKANO MZURI WA NYUMBA YAKO

10/09/2026

UBORA WA JUU WA BATI ZETU
Bati zetu zimetengenezwa kwa mchanganyiko maalumu wa material bora ili kuhakikisha uimara, urembo, na ulinzi wa paa lako:

Tupigie au whatsApp: +255 717 295 493
🔥🔥🚚USAFIRI BURE MIKOA YOTE!
🔥MISUMARI KG 10 BUREE!!

✅ 40% Aluminium – Huzuia bati kuchukua joto kupita kiasi, hupunguza ukali wa miale ya jua, na kuilinda dhidi ya kutoboka kwa kutu.

✅ 35% Zinki – Huongeza uzito sahihi na uimara, kuhakikisha bati inadumu kwa muda mrefu bila kuharibika.

✅ 25% Silicon – Huimarisha uimara wa rangi, kuzuia kupauka, na kudumisha mwonekano mzuri katika misimu yote ya mwaka

BEI YA KILA BATI NA GAUGE ✅✅
30G
Mgongo mpana Elfu 21,000/=
Mgongo mdogo Elfu 21,000/=
Versetile vigae Elfu 32,000/=
Kofia na Valley Elfu 12,000 /=

28G. ⬅️☘️
Mgongo mpana Elfu 34,000/=
Mgongo mdogo Elfu 34,000 /=
Versetile vigae Elfu 40,000 /=
Kofia na Valley Elfu 17,000 /=

CHENGA CHENGA 30G. ⬅️☘️
Mgongo mpana Elfu 24,000 /=
Mgongo mdogo Elfu 24,000/ =
Versetile vigae Elfu 33,000 /=

CHENGA CHENGA 28G. ⬅️☘️
Mgongo mpana Elfu 37,000/=
Mgongo mdogo Elfu 37,000 /=
Versatile vigae Elfu 42,000 /=

Misumari 1kg normal Elfu 7,000/=
Misumari 1kg tred Elfu 8,000/=

Tupigie au whatsApp: +255717295493
📍vingunguti, Dar es salaam.

10/09/2026

Habari Boss! Bati za migongo mipana,migongo midogo na bati za vigae bei zake za kiwandani zinategemea Gauge (unene) unaoutaka:

🔹 Gauge 30 kwa bando ni tsh.336,000/= bando pcs 16 kwa pc 1 ni tsh.21,000/=(BATI AMBAZO HAZINA CHENGA)-BATI ZA MIGONGO MIPANA NA MIGONGO MIDOGO.

🔹 Gauge 28 kwa bando ni tsh.544,000/= bando pcs 16 na pc 1 ni tsh.34,000/= (BATI AMBAZO HAZINA CHENGA)-BATI ZA MIGONGO MIPANA NA MIGONGO MIDOGO

📍Gauge 30 kwa bando ni tsh.512,000/= bando pcs 16 na pc 1 ni tsh.32,000/= (BATI AMBAZO HAZINA CHENGA)-BATI ZA VIGAE

📍Gauge 28 kwa bando ni tsh.480,000/= bando pcs 12 na pc 1 ni tsh.40,000/=(BATI AMBAZO HAZINA CHENGA)-BATI ZA VIGAE

🔥Gauge 30 kwa bando ni tsh.384,000/= bando pcs 16 na pc 1 ni tsh.24,000/= (BATI ZA CHENGA) MIGONGO MIPANA NA MIDOGO.

🔥Gauge 28 kwa bando ni tsh.444,000/= bando pcs 12na pc 1 ni tsh.37,000/=(BATI ZA CHENGA)MIGONGO MIPANA NA MIDOGO.

🔥Gauge 30 kwa bando ni tsh.528,000/= bando pcs 16 na pc 1 ni tsh.33,000/= (BATI ZA CHENGA)-BATI ZA KIGAE

🔥Gauge 28 kwa bando ni tsh.504,000/= bando pcs 12 na pc 1 ni tsh.42,000/=(BATI ZA CHENGA) -BATI ZA KIGAE

📍(Kumbuka: Unapata rangi yoyote unayotaka k**a Maroon, Charcoal Grey, Green, au Blue, na tunakukatia urefu wowote [futi] unaohitaji!)

💡 Unahitaji bando ngapi au bati ngapi za migongo mipana au migongo midogo kwa ajili ya mjengo wako?

Pia ukiwa na vipimo au ramani, tutumie hapa tukupigie hesabu kamili na Proforma Invoice ya bure kabisa!

Tunauza Bati za Migongo mipana, migongo midogo na bati za vigae za rangi kwa bei nafuu
09/09/2026

Tunauza Bati za Migongo mipana, migongo midogo na bati za vigae za rangi kwa bei nafuu

Habari Boss! Bati za migongo mipana,migongo midogo na bati za vigae bei zake za kiwandani zinategemea Gauge (unene) unao...
08/09/2026

Habari Boss! Bati za migongo mipana,migongo midogo na bati za vigae bei zake za kiwandani zinategemea Gauge (unene) unaoutaka:

🔹 Gauge 30 kwa bando ni tsh.336,000/= bando pcs 16 kwa pc 1 ni tsh.21,000/=(BATI AMBAZO HAZINA CHENGA)-BATI ZA MIGONGO MIPANA NA MIGONGO MIDOGO.

🔹 Gauge 28 kwa bando ni tsh.544,000/= bando pcs 16 na pc 1 ni tsh.34,000/= (BATI AMBAZO HAZINA CHENGA)-BATI ZA MIGONGO MIPANA NA MIGONGO MIDOGO

📍Gauge 30 kwa bando ni tsh.512,000/= bando pcs 16 na pc 1 ni tsh.32,000/= (BATI AMBAZO HAZINA CHENGA)-BATI ZA VIGAE

📍Gauge 28 kwa bando ni tsh.480,000/= bando pcs 12 na pc 1 ni tsh.40,000/=(BATI AMBAZO HAZINA CHENGA)-BATI ZA VIGAE

🔥Gauge 30 kwa bando ni tsh.384,000/= bando pcs 16 na pc 1 ni tsh.24,000/= (BATI ZA CHENGA) MIGONGO MIPANA NA MIDOGO.

🔥Gauge 28 kwa bando ni tsh.444,000/= bando pcs 12na pc 1 ni tsh.37,000/=(BATI ZA CHENGA)MIGONGO MIPANA NA MIDOGO.

🔥Gauge 30 kwa bando ni tsh.528,000/= bando pcs 16 na pc 1 ni tsh.33,000/= (BATI ZA CHENGA)-BATI ZA KIGAE

🔥Gauge 28 kwa bando ni tsh.504,000/= bando pcs 12 na pc 1 ni tsh.42,000/=(BATI ZA CHENGA) -BATI ZA KIGAE

📍(Kumbuka: Unapata rangi yoyote unayotaka k**a Maroon, Charcoal Grey, Green, au Blue, na tunakukatia urefu wowote [futi] unaohitaji!)

💡 Unahitaji bando ngapi au bati ngapi za migongo mipana au migongo midogo kwa ajili ya mjengo wako?

Pia ukiwa na vipimo au ramani, tutumie hapa tukupigie hesabu kamili na Proforma Invoice ya bure kabisa!

Tupigie au whatsApp:+255717 29 54 93

📍FAIDA 6 ZA KUNUNUA MABATI KIWANDANI KUTOKA FREDY MABATI?🔥Bei ya kiwandani, hakuna madalali.🔥Ubora na uhakika uliodhamin...
04/09/2026

📍FAIDA 6 ZA KUNUNUA MABATI KIWANDANI KUTOKA FREDY MABATI?
🔥Bei ya kiwandani, hakuna madalali.
🔥Ubora na uhakika uliodhaminiwa(T.B.S)
🔥Kiwanda ni dhamana yako mteja.
🔥Ushauri wa kitaalamu Bure kutoka kiwandani.
🔥Upatikanaji wa huduma kwa haraka kiwandani
🔥Kiwanda kinatoa usafiri bure popote Tanzania na Misumari

📍N.B karibu kiwandani tupo tabata matumbi/vingunguti

📍Kama upo mkoani mwagize mwakilishi wako alie Dar es Salaam ndugu au rafiki afike kiwandani kwetu

📍Call/Whatsapp:0717 295 493/0626 885 036

Address

Tazara
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FREDY Mabati Haomai posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share