Joe Civil and Building Contractor Company Limited

  • Home
  • Joe Civil and Building Contractor Company Limited

Joe Civil and Building Contractor Company Limited Joe Civil and Building Contractor Co Ltd
Waandaaji wa raman za majengo, bajeti (B.O.Q) pamoja na ujenzi wa majengo. Site visit and Consultation

Design/construction/ Renovation/ Finishing
Residential & Commercial buidings.

17/09/2026

Je unafahamu kwamba ujenzi ni hatua kubwa sana na inahitaji umakini katika kila hatua unayayoichukua!!

Hapa Hakikisha unachangua watu sahihi ndio mana sisi JOE construction tupo kwa ajili yako.

Tunahakikisha site yako haina migogoro, unaoata nyaraka zote muhumu.
pia tunakuandalia design za ramani zote, Bajeti na makadirio ya ujenzi pamoja na ujenzi kwa ujumla na kukukabidhi funguo.

Tunafanya oia ukarabati wa nyumba, Finishing pamoja na Garden and landscape.

karibu sana
call/whatsapp
+255 743 098 584




15/09/2026

Je unajua umuhimu wa wataalamu kufika site kwako kwa maana ya site visit mwanzoni kabisa kabla ya kutekeleza design au ujenzi??

1. Kutambua Mipaka na Vipimo Sahihi (Boundary & Dimensions Verification):

Hapa haki ya kumiliki na vipimo halisi vya kiwanja vinahakikiwa ili kuzuia migogoro ya ardhi na kuhakikisha jengo halivuki mipaka ya kisheria pia design inapangiliwa vzuri na mazingira yake kwa kuzingatia vipimo.

2. Kuchunguza Hali ya Udongo (Soil Topography & Type):
Wataalamu huangalia aina ya udongo na mwinuko au mteremko wa ardhi ili kujua aina ya msingi(foundation)unaofaa kwa uimara wa jengo, na jinsi ya kusawazisha eneo.

3. Kuangalia Miundombinu lliyopo (Existing Infrastructure):
Inasaidia kubaini upatikanaji wa huduma muhimu k**a barabara( kurahisisha usafirishaji wa materials), maji, umeme, na mifumo ya majitaka karibu na eneo hilo ili kuzingatiwa kwenye ramani.

4. Kujua ghahrama halisi( Accurate Budget) za ujenzi:

Uandaa wa gaharama za ujenzi huwa halisia zaidi pale ambapo hali na mazingira ya site husika huhusishwa na kufanyiwa tathimini.
Ndo mana sisi JOE hata k**a design
iko tayari na bajeti yake lakini mteja mwingine anapohitahi design hiyo hiyo lazima tufanye tena review ya design pamoja na bajeti kwa kuhusianisha na taarifa hizi muhinu.

HITIMISHO

Kwa ujumla, wataalamu kufanya site visit mwanzoni mwa mradi ni hatua muhimu inayowezesha ukusanyaji wa taarifa sahihi za kiufundi, ikiwemo uhakiki wa vipimo, hali ya udongo, mwelekeo wa jua na upepo, pamoja na upatikanaji wa miundombinu k**a maji na umeme. Ziara hii inasaidia kutambua mapema vikwazo vya kisheria na mazingira, kupanga namna vifaa vitakavyofika eneo la kazi, na kulinda usalama wa majengo ya jirani, jambo ambalo huepusha makosa ya kiusanifu, hupunguza gharama zisizotarajiwa, na kuhakikisha ujenzi unaanza kwa usalama na ufanisi mkubwa.

By: Joe Civil and Building Contractor Company Limited..
Follow us and share with others.

Call/whatsapp
+255 743 098 584

hitecture



15/09/2026
14/09/2026

Ww unayehitaaji kujenga hakikisha unawasiliana na wataalamu katika kila hatua ili upate kilichobora.

JOE tupo kwa ajili yako wasiliana nasi leo kwa khuduma zote za ujenzi kuanziq site vist, uandaaji wa ramani, ushauri( consultation), bajeti( BOQ) na ujenzi mwanzo mwisho.
Pia tunafanya marekebisho ( renovation) na finishing za kisasa ikiwemo Garden and Landscaping.

Karibuni sana.
Call/whatsapp +255 743 098 584




13/09/2026

Unahitaji huduma ya ujenzi na huna wa kufanya haya yote!!! Site visit and surveying( upimaji wa vuwanja na uhakiki wa mipaka, uandaaji wa ramani, bajeti, ushauri pamoja na huduma ya ujenzi.

JOE tupo kwa ajili ya kuhakikisha unapata huduma sahihi na bora za ujenzi.
Wasiliana nasi leo
+255 743 098 584





12/09/2026

kila nyumba huanza na design ya ramani nzuri na ya kisasa, kisha bajeti halisi na inayoendana na uwezo wa mteja na kisha ujenzi bora na wa kisasa bila kutoka nje ya bajeti wala nje ya ubora wa nyumba.

JOE Design ya Ghirofa yenye 3Bedroom, sitting room, Dining, kitchen. nzuri kwa ajiki yako.

wasiliana nasi leo call/whatsapp

+255 743 098 584









11/09/2026
09/09/2026

Unahitaji huduma ya ujenzi na huna wa kufanya haya yote!!! Site visit and surveying( upimaji wa vuwanja na uhakiki wa mipaka, uandaaji wa ramani, bajeti, ushauri pamoja na huduma ya ujenzi.

JOE tupo kwa ajili ya kuhakikisha unapata huduma sahihi na bora za ujenzi.
Wasiliana nasi leo
+255 743 098 584

🇹🇿


Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Joe Civil and Building Contractor Company Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed contractor?

Share