11/10/2026
🚨 WAPANGAJI WANAZOZANA KILA MWISHO WA MWEZI KWA SABABU YA BILI YA UMEME? ⚡🏠
Mmoja ana friji, pasi na rice cooker, mwingine ana taa tu, lakini wote wanagawana bili moja! Hapo ndipo lawama zinapoanzia. 😩
💡 SULUHISHO NI SUBMETER KATA UMEME!
✅ Kila mpangaji anapima matumizi yake kivyake.
✅ Kila mtu ananunua umeme wake.
✅ Umeme wa mpangaji mmoja ukiisha, haukatiki kwa wengine.
✅ Amani, uwajibikaji na uhuru wa matumizi ya umeme.
Tanzanite Electrical Solution tumefikisha huduma zetu Bara na Visiwani Zanzibar! 🇹🇿
📲 Unahitaji submeter au huduma za umeme?
Bonyeza link kwenye bio, FOLLOW ukurasa wetu wa Instagram na ututumie ujumbe WhatsApp: 0686 198 578.
⚡ TANZANITE ELECTRICAL SOLUTION Ubora, usalama na uaminifu.