Udongo Rutuba

Udongo Rutuba Flowerpots, nutrient-rich soil, and powerful plant boosters—everything. HEALTHY SOIL, HEALTHY PLANET!

16/08/2026

Mng’aoooooo mzuriiii wa helaaa rangi mojaaa kabisaaa unapata kwa hiki kipakooo tuuu … maua ya kivuliniii au ndanii… unawekaaa kipakooo

15/08/2026

Hatujamalizaaaaaaaaaa kaziiii imeanzaaa ni mwendo wa kubaruzaaa kitajiriiii pot nzurii material 10/10 .. hakuna kushindwaaa vipengeleee maboss wetu hamnagaaa njooo ujiburudishe na vitu vizuriii

Mshangazi 18lt: 6500@

15/08/2026

Ni muda muafakaaa wa kutumia COMBO RUTUBA+KIBUSTA UNYEVU ….. Jua kali linasababisha upotevu wa unyevu kwenye udongooo na pia kipupwe upepo mkali udongo pia unapoteza unyevu … kwa hiyo kibusta unyevu ni kiungo pekeee kinaweza kutunza unyevu kwa muda mrefu bila kuwa na madhara yoyote ni muhimu mnooo ili maua yako yavuke salama!!!

Kibusta unyevu; 10000@ (cocopeat)
Udongo rutuba lishe :8500@ ndoo kubwa

🚦:KINYEREZI: 📞: 0713 647 918

🚦: ARUSHAA JR 📞 0741 727 560

🚦:TEGETA NYUKI 📞 0747581748

🚦:MABIBO MWISHO 📞 0657262445

Delivery ipo kwa gharama nafuuu kwenye matawi yetu yote

Mikoani na NCHI ZA JIRANI Tunatuma kwa uaminifu

@

Machoziiiiii zimebakiii chacheeee  moja ya poti imetungisha jiji kwa uzuri na details za kueleweka za kuvutia ni hii hap...
14/08/2026

Machoziiiiii zimebakiii chacheeee moja ya poti imetungisha jiji kwa uzuri na details za kueleweka za kuvutia ni hii hapa

Lt 18 zimebaki pc 3 tu !!!!

Lt 25 kubwaaa zimebaki 8 tu 🙏🏻🔥🔥🔥

14/08/2026

Good night❤️

KESHO NI WEEKEND MAPEMA TUTAKUWA WAZIIII❤️

14/08/2026

Ni makusudi unafanya wtiii jamaniii umeweka maua shabaghalah wakati huku vipandiooo ni buku tu!! umepanda kwenye vichupa vya maji hata havivutiiii…. tupo waziii

wenzangu wa facebook hizi ndo namba zetu

🚦:KINYEREZI: 📞: 0713 647 918

🚦: ARUSHAA JR 📞 0741 727 560

🚦:TEGETA NYUKI 📞 0747581748

🚦:MABIBO MWISHO 📞 0657262445

Delivery ipo kwa gharama nafuuu kwenye matawi yetu yote

Mikoani na NCHI ZA JIRANI Tunatuma kwa uaminifu

@

14/08/2026

mzurii mwenyewee anasimamiaha jiji kwa urembo wakeee waridiii wetuuuu

🚦:KINYEREZI: 📞: 0713 647 918

🚦: ARUSHAA JR 📞 0741 727 560

🚦:TEGETA NYUKI 📞 0747581748

🚦:MABIBO MWISHO 📞 0657262445

Delivery ipo kwa gharama nafuuu kwenye matawi yetu yote

Mikoani na NCHI ZA JIRANI Tunatuma kwa uaminifu

@

kapot kazuriiii sanaaaa sikapost mara kwa marq lakini kanajiuzaa yaan boss anakukumbusha namtaka karembo wangu 🙌🏻🙌🏻🙌🏻mat...
14/08/2026

kapot kazuriiii sanaaaa sikapost mara kwa marq lakini kanajiuzaa yaan boss anakukumbusha namtaka karembo wangu 🙌🏻🙌🏻🙌🏻

material yanamudu jua na inauzuri wa asili kabisaaaa

🚦:KINYEREZI: 📞: 0713 647 918

🚦: ARUSHAA JR 📞 0741 727 560

🚦:TEGETA NYUKI 📞 0747581748

🚦:MABIBO MWISHO 📞 0657262445

Delivery ipo kwa gharama nafuuu kwenye matawi yetu yote

Mikoani na NCHI ZA JIRANI Tunatuma kwa uaminifu

@

vitu flani vya KITURIST KUELEKEA KWA TAJIRI ✨✨⚡️⚡️⚡️🙌🏻🙌🏻🙌🏻zuriii na panga na squarebox mnaua sanaaaa 🙌🏻🙌🏻🙌🏻 maboss wetu ...
14/08/2026

vitu flani vya KITURIST KUELEKEA KWA TAJIRI ✨✨⚡️⚡️⚡️🙌🏻🙌🏻🙌🏻

zuriii na panga na squarebox mnaua sanaaaa 🙌🏻🙌🏻🙌🏻 maboss wetu mbarikiweee

bado tupoo waziii

Address

Tanzania Street
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Udongo Rutuba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category