03/10/2026
π UKUTA UNALOWA KWA MAJI YA MVUA? π¦
Usiache maji ya paa yakipita moja kwa moja kwenye ukuta! FLASH COVER YA KUFUNIKA UKUTA husaidia kuelekeza maji ya mvua mbali na ukuta, huku ikiupa paa na ukuta muonekano safi. π¨β¨
π Tunapatikana Dar es Salaam, Changβombe β VETA Centre.
π² Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi na upate yako.
BATI BOMBA β JENGA KWA UHAKIKA.