Tanzua Precision Furnitures

Directions Website Contact the business

Tanzua Precision Furnitures Construction| Painting| Plumbing| Electric installation

23/09/2026

Tunaendelea kupokea oda kutoka kwa wateja wetu au unaweza kununua zilizo tayari kwa delivery

Construction| Painting| Plumbing| Electric installation

Meza na kiti kwa Tsh 280,000 tu. Ukitaka kutengeneza namna unayotaka, tunatengeneza furniture aina zote zikiwa za nyumba...
19/09/2026

Meza na kiti kwa Tsh 280,000 tu. Ukitaka kutengeneza namna unayotaka, tunatengeneza furniture aina zote zikiwa za nyumbani, ofisini au biashara.

Dar tunafanya free delivery, tunapokea oda za mikoani na kuzifanyia kazi ndani ya masaa 24 tu.

Wasiliana nasi namba ya Whatsapp iko kwenye BiO

Tunatengeneza meza aina zote kulingana na mahitaji ya mteja. Tunafanya delivery masaa 24 tu.
17/09/2026

Tunatengeneza meza aina zote kulingana na mahitaji ya mteja. Tunafanya delivery masaa 24 tu.

Furniture k**a hii tunatengeneza Tanzua Precision Furniture kulingana na mahitaji yako ya ukubwa au eneo lako. Huduma ze...
09/09/2026

Furniture k**a hii tunatengeneza Tanzua Precision Furniture kulingana na mahitaji yako ya ukubwa au eneo lako. Huduma zetu ni masaa 24 kila siku, wasiliana nasi ikiwa una swali kuhusu huduma zetu

Tanzua Precision Furniture tunatoa huduma nzuri ya kutengeneza furniture aina zote za ndani na ofisini kwa bei ya kitanz...
09/09/2026

Tanzua Precision Furniture tunatoa huduma nzuri ya kutengeneza furniture aina zote za ndani na ofisini kwa bei ya kitanzania.

Wasiliana nasi kupata huduma zetu za furniture ndani na nje ya mkoani

Design za kisasa kwa ajili ya ofisi au nyumba yako Tanzua Precision Furniture tupo kwa ajili yako. Tunakuja site kukusha...
05/09/2026

Design za kisasa kwa ajili ya ofisi au nyumba yako Tanzua Precision Furniture tupo kwa ajili yako. Tunakuja site kukushauri kuhusu kazi yako.

Badili muonekano wa nyumba yako ukiwa na Tanzua Precision Furniture .
03/09/2026

Badili muonekano wa nyumba yako ukiwa na Tanzua Precision Furniture .

12/06/2026

Meza inapatikana

Karibu kwa huduma zetu

31/05/2026

Tanzua ni mabingwa wa kutengeneza furniture za biashara, makazi na ofisini Kuwa sehemy ya watu wanafurahia huduma zetu.

Address

Mwananyamala A, Tanzua Group
Dar Es Salaam
33101

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 08:00 - 18:00
Sunday 08:00 - 18:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzua Precision Furnitures posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tanzua Precision Furnitures:

Shortcuts

Share