Recho interiors desgn

Call Contact the business

Recho interiors desgn NO:0624667158
house painting
kitchen cabnet
Tv show case

19/09/2026
18/09/2026

Kuna siku ambazo picha hazitoshi kuelezea hisia… 🤍✨
Siku hii ilikuwa zaidi ya harusi; ilikuwa mwanzo wa ukurasa mpya wa maisha yangu.

Alhamdulillah kwa Mwenyezi Mungu kunipa neema ya kupendwa, kuchaguliwa na kupata bahati ya kuwa mke. 🤲🏽❤️

Na kwa mwanaume aliyenioa, asante kwa kunichagua kuwa sehemu ya maisha yako. Asante kwa kuniamini, kunipenda na kunifanya niamini kwamba kweli kuna mtu anaweza kuwa “nyumbani” kwako. 🥹❤️

Nikizitazama picha hizi, narudi kwenye ile siku na moyo wangu unaendelea kusema… Alhamdulillah, nilikuwa na sababu ya kutabasamu. 💍🤍

Mwenyezi Mungu aendelee kuibariki safari yetu. 🥂❤️

Wengine wanapambana kutushusha, sisi tunapambana kupanda. 🥺🔥Wanatusimanga, wanatusemea mabaya na hata kutengeneza uongo ...
17/09/2026

Wengine wanapambana kutushusha, sisi tunapambana kupanda. 🥺🔥
Wanatusimanga, wanatusemea mabaya na hata kutengeneza uongo ili tuanguke. Lakini hawajui tulikotoka—wakati wa shida hatukuwa na watu wa kuwapigia simu kuomba msaada.

Ndio maana tunapambana kimya kimya. Hatutaki kuwa juu ya mtu, tunataka tu tufike mbali. 🤲🏽❤️‍🔥 HATUPO HAPA KUSHINDANA NA YOYOTE

17/09/2026

karibu tunajihusisha na finishing za nyumba
🏠 gypsum board designer
🏠 skimming
🏠 skirting
🏠 moulding
🏠 rangi aina zote
🏠 kitchen cabinet
🏠 tv showcase
🏠 curtains
site visit inategemea na site ilipo.
😊 ushauri ni bureee


16/09/2026

😂 Leo nimegundua kitu kimoja: si kila chakula kizuri kwenye picha, ni chakula kizuri kwenye sahani!

Nikaingia restaurant ya Kichina nikijiamini kabisa 😎🥢… ila harufu tu imenipiga KO kabla hata sijaanza kula! 😂😭 Nikabadilisha order, nikajaribu tena… nikala kidogo sana kwa heshima tu. 🤣

China 🇨🇳 1 — Mimi 🇹🇿 0! 😂

Lakini ngoja niwaulize… ninyi mnaweza kula chakula cha Kichina bila shida au ni mimi tu nimepewa version ya “challenge”? 😂👇🏽

LifeInTanzania FoodExperience RechoInteriorsDesgn

ANGALAU MUME WANGU KALA SAMAKI WAKE NIKADOEA🤣🤣

kilanga chote kimeniisha aisee🤣🤣

sasa itakuaje nikienda china njaa si itaniua na vile napenda kula

Nikajaribu kingine ila ubwaubwa k**a wamepikia maji ya kisima sijui khaa🤣🤣🙌

🤣usikute na wenyewe wanashangaa vyakula vyetu ila kwa macho vinavutia sana vyakula vyao sijui itanichukua muda gani kuzoea

15/09/2026

karibu tunajihusisha na finishing za nyumba
🏠 gypsum board designer
🏠 skimming
🏠 skirting
🏠 moulding
🏠 rangi aina zote
🏠 kitchen cabinet
🏠 tv showcase
🏠 curtains
site visit inategemea na site ilipo.
😊 ushauri ni bureee


14/09/2026

KARIBU House Decoration and Finishing House Decoration and Finishing House Decoration and Finishing TUNAJIHUSISHA NA FINISHING ZA NYUMBA
🏠GYPSUM BOARD DESIGNER
🏠SKIMMING
🏠SKATING
🏠MOULDING
🏠RANGI AINA ZOTE
🏠KITCHEN CABNET
🏠TV SHOW CASE
🏠CURTAINS
SITE VISIT INATEGEMEA NA SITE ILIPO
😊USHAURI NI BUREEE
Decoration
kachaman Lights store
PAZIA ,RELI NA BOMBA

🚨 WE ARE HIRING! | SHOP MANAGERRachel Design Interior is looking for a responsible, organized and results-driven Shop Ma...
14/09/2026

🚨 WE ARE HIRING! | SHOP MANAGER

Rachel Design Interior is looking for a responsible, organized and results-driven Shop Manager to oversee the day-to-day operations of our three retail outlets.

If you have the right qualifications, strong leadership skills and experience in managing people, stock and daily operations, we would love to hear from you.

📩 Send your updated CV to:
[email protected]

Subject: SHOP MANAGER – APPLICATION

📍 Dar es Salaam
🗓️ Deadline: 30th September 2026

Please share with someone who may be a great fit.
Only shortlisted candidates will be contacted.

Address

GOBA KWA DANGOTE
Dar Es Salaam

Telephone

+255624667158

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Recho interiors desgn posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Recho interiors desgn:

Shortcuts

Share

Category