kwayu pavement garden

kwayu pavement garden Tunatengeneza pavement na garden:-
πŸ”Ά kwa ajili ya makazi ya aina zote.
πŸ”Άpia majumbani, ofisi .
πŸ”Άpia kudizaini mazingira ambayo ayajafanyiwa kazi.

08/06/2026
22/05/2026

Kazi ya level ikiendelea Dodoma πŸ‘·β€β™‚οΈπŸ”₯

Tunazingatia usahihi wa level na ubora wa maandalizi kabla ya hatua ya mwisho ya paving πŸ’―

Kazi safi, imara na ya kisasa ndiyo kipaumbele chetu πŸ‘Œ

πŸ“ Dodoma
🌿 Kwayuu Paving & Garden
πŸ“ž 0712069457

Tunafanya kazi Tanzania nzima πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

GardenDesign Pervini

Safari ya kazi inaendelea πŸ‘·β€β™‚οΈπŸ”₯Leo tupo Dodoma kwa ajili ya kazi ya paving na landscaping πŸ’―πŸ‡ΉπŸ‡ΏTunajivunia kutoa huduma bo...
18/05/2026

Safari ya kazi inaendelea πŸ‘·β€β™‚οΈπŸ”₯

Leo tupo Dodoma kwa ajili ya kazi ya paving na landscaping πŸ’―πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Tunajivunia kutoa huduma bora, imara na za kisasa popote Tanzania.

βœ”οΈ Paving (pervini)
βœ”οΈ Garden design
βœ”οΈ Landscaping

πŸ“ž 0712069457
πŸ“ Tunafanya kazi Tanzania nzima

Ujenzi

16/05/2026

Safari ya kikazi kuelekea Dodoma πŸ“πŸ‘·β€β™‚οΈ

Leo tunaelekea site kwa ajili ya ukaguzi na maandalizi ya kazi ya paving na landscaping πŸ”₯

Kabla ya kuanza kazi, tunahakikisha tunakagua eneo vizuri ili kutoa matokeo bora, imara na ya kisasa πŸ’―

Asante kwa kuendelea kutuamini πŸ™
Kwayuu Paving & Garden – Tunahudumia Tanzania nzima πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

πŸ“ž 0712069457
Ujenzi

28/04/2026

Kazi inaendelea site πŸ‘·β€β™‚οΈπŸ”₯

Tunaweka paving kwa umakini mkubwaβ€”kila sehemu inapimwa na kurekebishwa kuhakikisha uimara na level sahihi πŸ’―

Hapa tunaendelea na finishing kwenye maeneo ya drainage na marekebisho ya mwisho kabla ya kukamilisha kazi πŸ‘Œ

Hii ndiyo kazi ya uhakika na ya kudumu

Tunafanya:
βœ”οΈ Paving (pervini)
βœ”οΈ Garden design
βœ”οΈ Landscaping

πŸ“ž 0712069457 (WhatsApp)
πŸ“ Tunafanya kazi Tanzania nzima πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Progress

27/04/2026

Mwendelezo wa kazi site πŸ‘·β€β™‚οΈπŸ”₯

Tunaendelea na hatua ya kupanga paving kwa umakini mkubwa ili kupata mpangilio mzuri, level sahihi na uimara wa muda mrefu πŸ’―

Kila hatua tunazingatia ubora wa kazi ndio maana matokeo yetu yanakuwa ya kuvutia na ya kudumu πŸ‘Œ

Tunafanya: βœ”οΈ Paving (pervini)
βœ”οΈ Garden design
βœ”οΈ Landscaping

πŸ“ Tanzania nzima πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
πŸ“ž 0712069457 (WhatsApp)

Karibu tukufanyie kazi safi na ya kisasa πŸ”₯

ArushaBusiness

14/04/2026

Kazi ikiendelea site πŸ‘·β€β™‚οΈπŸ”₯

Hatua ya kushindilia kwa roller ili kuhakikisha paving inakuwa imara, level na ya kudumu kwa muda mrefu πŸ’―

Hii ndiyo tofauti ya kazi ya kitaalamu πŸ‘Œ

Tunafanya paving, garden design na landscaping Tanzania nzima πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

πŸ“ž 0712069457 (WhatsApp) πŸ“ Tupo tayari kufika location yako

BeforeAndAfter

09/04/2026

Tunaendelea na kazi ya maandalizi ya saiti ya mteja wetu πŸ‘·β€β™‚οΈ

Tunazingatia kila hatua kwa umakini mkubwa kuhakikisha paving inakuwa imara, nadhifu na ya kudumu πŸ’―πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Kwa huduma bora za:
βœ”οΈ Paving (pervini)
βœ”οΈ Garden design
βœ”οΈ Landscaping

πŸ“ž Wasiliana nasi:0712069457

Ujenzi Pervini NyumbaNzuri

Address

Arusha
23217

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when kwayu pavement garden posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share