Crown Paints Tanzania

Crown Paints Tanzania Crown Paints is the most innovative paint company in East Africa providing tailor made solutions to

Kuta Lainiiiiiiiiiiii, mtelezo, na inasafishika. Hii ndio Silk Vinly kutoka Crown Paints. Rangi bora na madhubuti kwa ku...
13/08/2026

Kuta Lainiiiiiiiiiiii, mtelezo, na inasafishika. Hii ndio Silk Vinly kutoka Crown Paints. Rangi bora na madhubuti kwa kupaka kuta za ndani yani sebleni, vyumbani na maeneo mbalimbali.

Usiwe wa mwisho kutumia bidhaa bora kutoka Crown Paints maana zinapatikana kwa mawakala wote wa rangi Tanzania nzima.

Para muonekano mpya na wa kileo kwenye samani zako za mbao kwa kutumia Crown Woodmaster Sanding Sealer!​Hizi ndio faida ...
11/08/2026

Para muonekano mpya na wa kileo kwenye samani zako za mbao kwa kutumia Crown Woodmaster Sanding Sealer!

​Hizi ndio faida kuu za kutumia bidhaa hii bora:

​Okoa Matumizi ya Varnish: Inaziba matundu ya mbao (Seals wood grain) vizuri na kupunguza kiwango cha varnish unachotakiwa kutumia baadaye.

​Muonekano wa Kifahari: Inaleta ulaini na muonekano wenye kung'aa kwenye meza, makabati, na samani mbalimbali za mbao.

​Ubora wa Juu (Premium Grade): Inalinda mbao na kudumisha ubora wa mbao zako kwa muda mrefu.

Sanding Sealer kutoka Crown Paints zinapatikana kwa mawakala wote wa Rangi Tanzania...
​If you like it... Crown it!

Crown Paints, tunawapongeza Watanzania wote kwa moyo wa uzalendo, umoja na mshikamano katika siku hii ya Nane Nane!Pamoj...
08/08/2026

Crown Paints, tunawapongeza Watanzania wote kwa moyo wa uzalendo, umoja na mshikamano katika siku hii ya Nane Nane!

Pamoja tujenge maisha bora, nyumba imara na miundombinu endelevu. Paka rangi bora, ilinde nyumba yako na bidhaa za Crown Paints.
Happy Nane Nane! If you like it... Crown it!

Je, unajua kuwa paa ndio sehemu inayopata athari kubwa zaidi ya jua na mvua kwenye nyumba yako?????​Usikubali bati au pa...
06/08/2026

Je, unajua kuwa paa ndio sehemu inayopata athari kubwa zaidi ya jua na mvua kwenye nyumba yako?????
​Usikubali bati au paa lako lipoteze muonekano na ubora wake. Tumia Crown PVA Roofmaster—rangi ya gredi ya juu (Premium Grade) iliyotengenezwa maalum kwa ajili ya kulinda na kunadhifisha paa lako kwa miaka mingi.
​Kwa nini uichague PVA kutoka CROWN PAINTS??

​Uimara wa hali ya juu (Extremely Durable)

​Inahimili hali zote za hewa (Weather Resistant)

​Ni rangi ya maji isiyo na shida wakati wa kupaka (Water Based)

​Nyumba yako inastahili kilicho bora zaidi. If you like it... Crown it!

KUTA LAINI HALAF LAINI TENAAA...🔥🔥🔥, hii ndio maana ya msingi wa rangi kutangulizwa na Wall Putty mahiri na maridadi Tan...
04/08/2026

KUTA LAINI HALAF LAINI TENAAA...🔥🔥🔥, hii ndio maana ya msingi wa rangi kutangulizwa na Wall Putty mahiri na maridadi Tanzania nzima...

Fika kwa wakala wetu wa Rangi popote pale Tanzania ujibebe CROWNPLAST WALL CEMENT PUTTY, upambe nyumba yako kwa ufarahi zaidi..

Kuta za Kifahari zinahitaji ubora wa Crown!​Je, unataka nyumba yako ionekane mpya kila siku bila kuogopa mvua wala jua? ...
29/07/2026

Kuta za Kifahari zinahitaji ubora wa Crown!

​Je, unataka nyumba yako ionekane mpya kila siku bila kuogopa mvua wala jua? Rangi ya Crown ndio jibu lako!

​✨ Ulinzi dhidi ya hali zote za hewa

✨ Muonekano wa kifahari na wa kisasa

✨ Kudumu kwa muda mrefu

​Badili muonekano wa nyumba yako leo!

P.V.A ROOFMASTER ya Crown Paints ndio Maana halisi ya mwonekano mpya na wa kifahari!​Paa la nyumba yako ndilo linalotoa ...
27/07/2026

P.V.A ROOFMASTER ya Crown Paints ndio Maana halisi ya mwonekano mpya na wa kifahari!

​Paa la nyumba yako ndilo linalotoa muonekano wa kwanza. Ipe nyumba yako ulinzi bora na muonekano wa kipekee kwa kutumia Crown PVA Roofmaster (100% Acrylic Emulsion).

​✅ Hudumu kwa muda mrefu

✅ Inahimili hali zote za hewa (jua na mvua)

✅ Inatoa rangi inayong'aa na ya kifahari

​👉 If you like it... Crown it!

Ubora unaoonekana, mng'ao wa kifahari. Tumia Crown Duco 2K Acrylic Paint  Kwa gari la ndoto zako!
24/07/2026

Ubora unaoonekana, mng'ao wa kifahari. Tumia Crown Duco 2K Acrylic Paint Kwa gari la ndoto zako!

Je, unatamani nyumba yako ionekane ya kifahari na ya kisasa? ​Tumia Crown Silk Vinyl Emulsion kupaka kuta za ndani za ny...
22/07/2026

Je, unatamani nyumba yako ionekane ya kifahari na ya kisasa?
​Tumia Crown Silk Vinyl Emulsion kupaka kuta za ndani za nyumba yako. Ni rangi laini, yenye mng'ao wa hariri (silk finish), na inayokupa muonekano wa kifahari unaostahili nyumba yako!

​🔹 Urahisi wa kupaka

🔹 Mng’ao wa hariri unaovutia

🔹 Ubora wa hali ya juu

​If you like it... Crown it!

Unajua geti ndio RECEPTION ya kwanza???? Sasa faham kuwa, ​Geti la kifahari linahitaji rangi ya kifahari!​Usiishie tu ku...
20/07/2026

Unajua geti ndio RECEPTION ya kwanza???? Sasa faham kuwa, ​Geti la kifahari linahitaji rangi ya kifahari!
​Usiishie tu kujenga, kamilisha muonekano wa geti na milango yako ya chuma kwa rangi ya mafuta yenye kung'aa na kudumu ya Crown High Gloss

​Mng'ao wa kipekee

​Ulinzi dhidi ya kutu na hali ya hewa

​Uimara wa miaka na miaka

​Unasubiri nini? Pendezesha mjengo wako leo!

Address

Unga Limited Industrial Area
Arusha

Opening Hours

Monday 08:00 - 04:30
Tuesday 08:00 - 04:30
Wednesday 08:00 - 04:30
Thursday 08:00 - 04:30
Friday 08:00 - 04:30
Saturday 08:00 - 12:30

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Crown Paints Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category